•   Staff Mail
  • Contact Us
  • Tenders
  • Vacancies
  • FAQs
  • English Swahili
[]
  • About us
    • History
    • Core Values
    • Mission and Vision
    • Management
    • Organisation Structure
    • Administration
    • TANAPA Map
  • National Parks
      • Southern Zone
      • Ruaha National park
      • Katavi National Park
      • Kitulo National Park
      • Western Zone
      • Serengeti National Park
      • Saanane Island National Park
      • Burigi-Chato National Park
      • Rubondo National Park
      • Gombe National Park
      • Mahale Mountains National Park
      • Ibanda-Kyerwa National Park
      • Rumanyika-Karagwe National Park
      • Ugalla River National Park
      • Northern Zone
      • Tarangire National Park
      • Arusha National Park
      • Mkomazi National Park
      • Lake Manyara National Park
      • Kilimanjaro National Park
      • Eastern Zone
      • Saadani National Park
      • Mikumi National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
      • Nyerere National Park
  • Tourism Services
    • Other Tourism Services
    • Tourism Products
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Speeches
    • Press Release
    • Photo Gallery
  • Publications
    • Brochure
    • The Tanzania national parks Acts
    • National policies for national parks
    • Guidelines
    • News letter
    • Park Fees and Regulations
    • Arrival Trends
    • Procedures
    • Manuals
  • e-Services
    • Air Operators Reservation
    • Private Visitors Reservation
    • Online Reservation Systems
  • Geoparks
    • Arusha-Meru Geopark
    • Mount Kilimanjaro Geopark
  • Customer Care
  1. Publications

Announcements

  • 04th Feb 2025
    TEMPORARY CLOSURE OF SERONERA AIRSTRIP - HTSN
  • 08th Jan 2025
    TAARIFA KWA UMMA
  • 01th Jul 2024
    PUBLIC NOTICE
  • 01th Mar 2024
    TAARIFA KWA UMMA
View more

Publications

Park Fees 2020/21
Posted on: 11-Nov-2019
Press Release
Posted on: 18-Sep-2019
Guidelines for Chimpanzee Viewing
Posted on: 17-Sep-2019
Guidelines for Sports Fishing
Posted on: 17-Sep-2019
Park Fees for EAC 2020/21
Posted on: 30-Aug-2019
Guidelines for Horseback riding
Posted on: 30-Aug-2019
Canopy Walkway Guideline
Posted on: 30-Aug-2019
Guideline for Canoeing and Kayaking
Posted on: 30-Aug-2019
Guidelines for Boating Safaris
Posted on: 30-Aug-2019
Guidelines for Balloon Safaris
Posted on: 30-Aug-2019
Migration River Crossing Guidelines 2019
Posted on: 30-Aug-2019
Chimps Viewing regulations in Mahale
Posted on: 30-Aug-2019
Paragliding guidelines
Posted on: 30-Aug-2019
Guidelines for Mawenzi technical climbing
Posted on: 30-Aug-2019
View more

News

25-Apr-2025
News Image
Wajumbe kutoka Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) wakiongozwa na Katibu Mkuu wa shirika hilo, Zurab Pololikashvili, leo Aprili 24, 2025 wamefanya ziara katika Hifadhi ya Taifa Arusha iliyopo jijini Arusha, kwa lengo la kujionea vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana ndani ya hifadhi hiyo. Katika ziara hiyo, Katibu Mkuu Zurab Pololikashvili pamoja na wajumbe wengine kutoka shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) waliambatana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), ambapo walitembelea maeneo kadhaa ya kipekee ndani ya hifadhi hiyo, ikiwemo maporomoko ya maji ya Tululusia sambamba na kuona kwa karibu aina mbalimbali za wanyamapori wanaoishi ndani ya hifadhi hiyo. Wajumbe hao walipokelewa na Naibu Kamishna wa Uhifadhi Steria Ndaga ambaye ni Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, pamoja na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Eva Malya ambaye ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Arusha wakishirikiana na Maafisa na Askari kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). Ziara hiyo inalenga kuongezeka ushirikiano kati ya Tanzania na mashirika ya kimataifa katika kukuza utalii endelevu na kuimarisha uhifadhi wa rasilimali za asili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
27-Mar-2025
News Image
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kuendelea kusimamia miradi ya miundombinu ya utalii inayotekelezwa ndani Hifadhi ya Taifa Saadani ili kurahisisha watalii kufika kwa urahisi, kuchochea shughuli za kiutalii na kuongeza mapato ya Serikali. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Japheti Hasunga (Mb), alitoa maelekezo hayo leo Machi 26, 2025, wakati wa ukaguzi wa miradi miwili inayotekelezwa ndani ya hifadhi hiyo ikiwemo uboreshaji wa barabara za ndani ya hifadhi na upanuzi wa uwanja wa ndege.
27-Mar-2025
News Image
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa (Mb) amelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya sekta ya utalii nchini. Mhe. Majaliwa ameyasema hayo Machi 25, 2025 katika hafla fupi ya uzinduzi wa lango jipya la utalii la Ndea lililopo ndani ya Hifadhi ya Taifa Mkomazi katika Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
View more

Publications

  • Park Fees 2020/21 Download
  • Press Release Download
  • Guidelines for Chimpanzee Viewing Download
  • Guidelines for Sports Fishing Download
  • Park Fees for EAC 2020/21 Download
  • Guidelines for Horseback riding Download
  • Canopy Walkway Guideline Download
  • Guideline for Canoeing and Kayaking Download
  • Guidelines for Boating Safaris Download
  • Guidelines for Balloon Safaris Download
  • Migration River Crossing Guidelines 2019 Download
  • Chimps Viewing regulations in Mahale Download
  • Paragliding guidelines Download
  • Guidelines for Mawenzi technical climbing Download
    • ‹
    • 1
    • 2
    • 3
    • 4
    • 5
    • 6
    • 7
    • ›
Tanzania Census 2022

Contact Info

  • Tanzania National Parks
  • Tanzania National Parks P.O Box 3134 Arusha
  • +255 (0) 272 970 404
  • +255 (0) 272 970 408
  • info@tanzaniaparks.go.tz, cc@tanzaniaparks.go.tz,

Related Links

  • Pasiansi Wildlife Training Institute
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • Bodi ya Utalii Tanzania
  • TFS
  • TAWA
  • TAWIRI
  • MNRT
  • e-Government Agency

Quick Links

  •   Acts

Staff Services

  • NEST
  • TANAPA Fleet Management System
  • Planning And Budget Tool
  • Aruti Self Service
  • e-Office

Videos

  • Sitemap
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Copy Right Statements.
  • Disclaimer
© Tanzania National Park. All Rights Reserved.