•   Staff Mail
  • Contact Us
  • Tenders
  • Vacancies
  • FAQs
  • English Swahili
[]
  • About us
    • History
    • Core Values
    • Mission and Vision
    • Management
    • Organisation Structure
    • Administration
    • TANAPA Map
  • National Parks
      • Southern Zone
      • Ruaha National park
      • Katavi National Park
      • Kitulo National Park
      • Western Zone
      • Serengeti National Park
      • Saanane Island National Park
      • Burigi-Chato National Park
      • Rubondo National Park
      • Gombe National Park
      • Mahale Mountains National Park
      • Ibanda-Kyerwa National Park
      • Rumanyika-Karagwe National Park
      • Ugalla River National Park
      • Northern Zone
      • Tarangire National Park
      • Arusha National Park
      • Mkomazi National Park
      • Lake Manyara National Park
      • Kilimanjaro National Park
      • Eastern Zone
      • Saadani National Park
      • Mikumi National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
      • Nyerere National Park
  • Tourism Services
    • Other Tourism Services
    • Tourism Products
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Speeches
    • Press Release
    • Photo Gallery
  • Publications
    • Brochure
    • The Tanzania national parks Acts
    • National policies for national parks
    • Guidelines
    • News letter
    • Park Fees and Regulations
    • Arrival Trends
    • Procedures
    • Manuals
  • e-Services
    • Air Operators Reservation
    • Private Visitors Reservation
    • Online Reservation Systems
  • Geoparks
    • Arusha-Meru Geopark
    • Mount Kilimanjaro Geopark
  • Customer Care
  1. Publications

Announcements

  • 04th Feb 2025
    TEMPORARY CLOSURE OF SERONERA AIRSTRIP - HTSN
  • 08th Jan 2025
    TAARIFA KWA UMMA
  • 01th Jul 2024
    PUBLIC NOTICE
  • 01th Mar 2024
    TAARIFA KWA UMMA
View more

Publications

Arrival Trends
Posted on: 30-Aug-2019
View more

News

31-May-2025
News Image
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa mara nyingine tena limeshinda tuzo ya Ubora wa Kimataifa ya mwaka 2025 – (European Award for Quality Choice Achievement 2025) katika daraja la Diamond inayotolewa na Jumuiya ya Ulaya inayojishughulisha na utafiti wa viwango vya ubora – (European Society for Quality Research ESQR).
26-May-2025
News Image
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini TANAPA Jenerali (mstaafu) George Waitara, amezindua huduma ya malazi ambayo ni Mahema katika Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Saanane iliyopo jijini Mwanza kwa ajili ya kuvutia wageni wengi kutembelea na kupata huduma ya malazi tofauti na awali. Hafla ya uzinduzi wa mradi huo wa mahema uliochagizwa na ongezeko la watalii uliosabababishwa na Filamu mbili za “The Royal Tour na Amazing Tanzania” na maoni ya wageni na wadau wa utalii umeziduliwa Mei 23, 2025 katika hifadhi hiyo iliyopo katikati ya jiji la Miamba.
25-Apr-2025
News Image
Wajumbe kutoka Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) wakiongozwa na Katibu Mkuu wa shirika hilo, Zurab Pololikashvili, leo Aprili 24, 2025 wamefanya ziara katika Hifadhi ya Taifa Arusha iliyopo jijini Arusha, kwa lengo la kujionea vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana ndani ya hifadhi hiyo. Katika ziara hiyo, Katibu Mkuu Zurab Pololikashvili pamoja na wajumbe wengine kutoka shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) waliambatana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), ambapo walitembelea maeneo kadhaa ya kipekee ndani ya hifadhi hiyo, ikiwemo maporomoko ya maji ya Tululusia sambamba na kuona kwa karibu aina mbalimbali za wanyamapori wanaoishi ndani ya hifadhi hiyo. Wajumbe hao walipokelewa na Naibu Kamishna wa Uhifadhi Steria Ndaga ambaye ni Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, pamoja na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Eva Malya ambaye ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Arusha wakishirikiana na Maafisa na Askari kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). Ziara hiyo inalenga kuongezeka ushirikiano kati ya Tanzania na mashirika ya kimataifa katika kukuza utalii endelevu na kuimarisha uhifadhi wa rasilimali za asili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
View more

Publications

  • Arrival Trends Download
Tanzania Census 2022

Contact Info

  • Tanzania National Parks
  • Tanzania National Parks P.O Box 3134 Arusha
  • +255 (0) 272 970 404
  • +255 (0) 272 970 408
  • info@tanzaniaparks.go.tz, cc@tanzaniaparks.go.tz,

Related Links

  • Pasiansi Wildlife Training Institute
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • Bodi ya Utalii Tanzania
  • TFS
  • TAWA
  • TAWIRI
  • MNRT
  • e-Government Agency

Quick Links

  •   Acts

Staff Services

  • NEST
  • TANAPA Fleet Management System
  • Planning And Budget Tool
  • Aruti Self Service
  • e-Office

Videos

  • Sitemap
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Copy Right Statements.
  • Disclaimer
© Tanzania National Park. All Rights Reserved.