Staff Mail
Contact Us
Tenders
Vacancies
FAQs
English
English
Swahili
About us
History
Core Values
Mission and Vision
Management
Organisation Structure
Administration
TANAPA Map
National Parks
Southern Zone
Ruaha National park
Katavi National Park
Kitulo National Park
Western Zone
Serengeti National Park
Saanane Island National Park
Burigi-Chato National Park
Rubondo National Park
Gombe National Park
Mahale Mountains National Park
Ibanda-Kyerwa National Park
Rumanyika-Karagwe National Park
Ugalla River National Park
Northern Zone
Tarangire National Park
Arusha National Park
Mkomazi National Park
Lake Manyara National Park
Kilimanjaro National Park
Eastern Zone
Saadani National Park
Mikumi National Park
Udzungwa Mountains National Park
Nyerere National Park
Tourism Services
Other Tourism Services
Tourism Products
Media Center
Video Gallery
Speeches
Press Release
Photo Gallery
Publications
Brochure
The Tanzania national parks Acts
National policies for national parks
Guidelines
News letter
Park Fees and Regulations
Arrival Trends
Customer Service Charter
Procedures
Manuals
e-Services
Air Operators Reservation
Private Visitors Reservation
Online Reservation Systems
Geoparks
Arusha-Meru Geopark
Mount Kilimanjaro Geopark
Customer Care
Publications
Announcements
01
th
Jul 2024
PUBLIC NOTICE
01
th
Mar 2024
TAARIFA KWA UMMA
28
th
Feb 2024
Public Notice
24
th
Feb 2024
TANAPA AERODROMES SURVEY 2024
View more
Publications
National policies for national parks 1994
Posted on: 27-Aug-2019
View more
News
10-Sep-2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha Tshs. Billioni 59 kwa ajili ya zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wa kata ya Nyatwali iliyopo Wilayani Bunda, Mkoani Mara. Zoezi hilo la ulipaji fidia limeongozwa na Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe.Dkt. Vicent Anney ambapo jumla ya wakazi 4111 wa kata ya Nyatwali leo wameanza kulipwa fidia ili kupisha eneo la ushoroba wa Hifadhi ya Taifa Serengeti kwa ajili ya Uhifadhi na uendelezaji wa eneo hilo ambalo ni mapitio ya Wanyama hasa Tembo huku ikitaarifiwa kuwa eneo hatarishi kwa Maisha ya wananchi hao.
07-Sep-2024
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na makampuni ya waongoza watalii nchini imepanga kuwapeleka watanzania zaidi ya 500 katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kusherehekea siku ya uhuru kupitia kampeni ya “Twenzetu Kileleni 2024” ikiwa ni msimu wa Nne wa Kampeni hiyo yenye Kaulimbiu isemayo “Stawisha Uoto wa Asili Tanzania, Okoa Barafu ya Mlima Kilimanjaro” kampeni ambayo imezunduliwa leo Septemba 6, 2024 hadi Disemba 4, 2024.
01-Sep-2024
Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa na jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
View more
Publications
National policies for national parks 1994
Download