GAME DRIVE IN SERENGETI
Lioness with cubs crossing the road.
Lioness with cubs crossing the road.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini TANAPA Jenerali (mstaafu) George Waitara, amezindua huduma ya malazi ambayo ni Mahema katika Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Saanane iliyopo jijini Mwanza kwa ajili ya kuvutia wageni wengi kutembelea na kupata huduma ya malazi tofauti na awali. Hafla ya uzinduzi wa mradi huo wa mahema uliochagizwa na ongezeko la watalii uliosabababishwa na Filamu mbili za “The Royal Tour na Amazing Tanzania” na maoni ya wageni na wadau wa utalii umeziduliwa Mei 23, 2025 katika hifadhi hiyo iliyopo katikati ya jiji la Miamba. ... Read More
Wajumbe kutoka Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) wakiongozwa na Katibu Mkuu wa shirika hilo, Zurab Pololikashvili, leo Aprili 24, 2025 wamefanya ziara katika Hifadhi ya Taifa Arusha iliyopo jijini Arusha, kwa lengo la kujionea vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana ndani ya hifadhi hiyo. Katika ziara hiyo, Katibu Mkuu Zurab Pololikashvili pamoja na wajumbe wengine kutoka shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) waliambatana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), ambapo walitembelea maeneo kadhaa ya kipekee ndani ya hifadhi hiyo, ikiwemo maporomoko ya maji ya Tululusia sambamba na kuona kwa karibu aina mbalimbali za wanyamapori wanaoishi ndani ya hifadhi hiyo. Wajumbe hao walipokelewa na Naibu Kamishna wa Uhifadhi Steria Ndaga ambaye ni Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, pamoja na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Eva Malya ambaye ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Arusha wakishirikiana na Maafisa na Askari kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). Ziara hiyo inalenga kuongezeka ushirikiano kati ya Tanzania na mashirika ya kimataifa katika kukuza utalii endelevu na kuimarisha uhifadhi wa rasilimali za asili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo. ... Read More
PUBLIC NOTICE
TEMPORARY CLOSURE OF SERONERA AIRSTRIP - HTSN
Dear Esteemed Customers,
Please be in...
Read More
Shirika la hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linautaarifu Umma kuwa barabara kutoka Bagamoyo kupitia eneo la Makurunge hadi lango la Gam...
Read More
Tanzania National Parks (TANAPA) wishes to inform its clients and tourism stakeholders
that, effective July 1st, 2024, all transact...
Read More
In collaboration with Tanzania Aviation Operators Association,We are pleased to announce the aerodromes survey
Follow the link to...
Read More