GAME DRIVE IN SERENGETI
Lioness with cubs crossing the road.
Lioness with cubs crossing the road.
Bodi ya wadhamini Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) inayoongozwa na Mwenyekiti, Jenerali (Mstaafu) George Waitara , ilizindua Ofisi mpya ya Makao Makuu ya Kanda ya Kusini - TANAPA yaliyopo wilayani Mbarali Mkoani Mbeya tarehe 28.04.2024. Sherehe hizo za uzinduzi Jenerali Waitara aliambatana na Wajumbe wa Bodi ya TANAPA, Mkuu wa Wilaya ya Makete Juma Samwel Swedi, Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA na viongozi wengine Waandamizi wa Chama na Serikali. Jengo hilo lina jumla ya Ofisi 19, Ukumbi mmoja wa kisasa wa Mikutano wenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 100 na Maktaba moja. Ofisi hiyo imegharimu jumla ya kiasi cha shilingi millioni 891. ... Read More
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limefanya wasilisho kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano ulioandaliwa na ofisi ya msajili wa hazina jijini Dar es salaam tarehe 21.03.2024. Kamishna wa Uhifadhi – TANAPA ndugu Juma Nassoro Kuji alieleza kwa lengo la kuongea na wahariri hao lilikuwa ni kuuhabarisha Umma mafanikio yaliyopatikana katika Hifadhi za Taifa katika kipindi cha miaka mitatu (2021 – 2024) ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita. ... Read More
In collaboration with Tanzania Aviation Operators Association,We are pleased to announce the aerodromes survey
Follow the link to...
Read More
Serengeti Visitors' Information Center Refurbishment Project
Kindly refer to the below public memo for more information
Read More
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na
umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha n...
Read More
The List of TANAPA Airstrips Available For Commercial Flights in 2023/24
This is effective from First July 2023
Click the li...
Read More