GAME DRIVE IN SERENGETI
Lioness with cubs crossing the road.
Lioness with cubs crossing the road.
Washindi wa tuzo za American Got Talent, ambao ni wasanii katika mchezo wa sarakasi, Ramadhani Brothers walifikisha tuzo hiyo katika Hifadhi ya Taifa Serengeti tarehe 07.04.2024 baada ya kuifikisha katika kilele cha Mlima Kilimanjaro tarehe 03.04.2024 ... Read More
Ramadhan Brothers, vijana wataalam wa sarakasi za “head to head balance” maarufu kama “Ngata” na washindi wa tuzo za America’s Got Talent 2024 walifanikiwa kufika juu ya kilele cha Uhuru mita 5985 kutoka usawa wa bahari, ambacho ndio kilele kirefu zaidi barani Afrika kilichopo juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 03.04.2024. Vijana hao waliamua kupanda mlima kupitia njia ya Marangu safari ambayo iliandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na kampuni ya Utalii ya Zara Advanture. ... Read More
In collaboration with Tanzania Aviation Operators Association,We are pleased to announce the aerodromes survey
Follow the link to...
Read More
Serengeti Visitors' Information Center Refurbishment Project
Kindly refer to the below public memo for more information
Read More
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na
umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha n...
Read More
The List of TANAPA Airstrips Available For Commercial Flights in 2023/24
This is effective from First July 2023
Click the li...
Read More