GAME DRIVE IN SERENGETI
Lioness with cubs crossing the road.
Lioness with cubs crossing the road.
βKamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Musa Nassoro Kuji, amehimiza maafisa na askari wa Hifadhi ya Taifa Burigi - Chato kuwajibika kikamilifu katika kuboresha na kuimarisha shughuli za uhifadhi na utalii. ... Read More
Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Musa Kuji amewataka Maafisa na Askari wa Uhifadhi katika Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Rubondo kufanya kazi kwa uadilifu, weledi, bidii, nidhamu pamoja na ushirikiano ili kutimiza adhima na malengo ya kuimarisha shughuli za uhifadhi katika Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Rubondo. Kamishna Kuji aliyasema hayo jana Machi 15, 2025 alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua shughuli mbalimba na kufanya kikao na Maafisa na Askari hao katika ofisi za Makao Makuu ya hifadhi hiyo yaliyopo eneo la Kageye ndani ya Hifadhi hiyo iliyopo katika Mkoa wa Geita. ... Read More
PUBLIC NOTICE
TEMPORARY CLOSURE OF SERONERA AIRSTRIP - HTSN
Dear Esteemed Customers,
Please be in...
Read More
Shirika la hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linautaarifu Umma kuwa barabara kutoka Bagamoyo kupitia eneo la Makurunge hadi lango la Gam...
Read More
Tanzania National Parks (TANAPA) wishes to inform its clients and tourism stakeholders
that, effective July 1st, 2024, all transact...
Read More
In collaboration with Tanzania Aviation Operators Association,We are pleased to announce the aerodromes survey
Follow the link to...
Read More