HORSE RIDING

Posted On: Aug, 26 2019
News Images

Wahitimu wa mafunzo ya "transformaation" wameaswa kutumia mbinu za kisasa kupambana na ujangili wa majangili wametutanguliahatua kadhaa mbele hivyo kuifanya vita ya ujangili kuwa ngumu.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya TAWA, MejaJenerali, Semfuko alipokuwa akifung mafunzo ya wahitimu 256 yaliyofanyikakatika kituo cha mafunzo Mlele, mjini Mpanda.